Kuhusu Papu ya Poni
Haki siku hisi mampo imepatilika, na sio ati ni chitu msuri. Wajeni niwaampie kahatisi katoko.
Mnachua fisuri tena sana kwampa mimi ni muchamaa ya pipi mmocha, inkawache watoto waine wanasapapisha roho yanku karipu isimame. Hio sio kusema kwampa mimi sikuwa ati na ntoko ntoko wachati mmocha au mwinkine, lachini sio ati muampie pipi yanku, kwa sapapu hiyo italeta fitina tu kwa poma yanku pure. Lachini kuna msichana mmocha mChaluo anaitwa Akinyi alikuwa mufanyi kasi wa mtosi! Ai!! Bane lachini siwesi entelea, kwa sapapu kuna watoto wanasoma hii chitu.
Eniwei, minachili yanku leo si kuonkea kuhusu mimi. Mimi ni mkristo tena wa nkufu, ntio kwa sapapu niko na hii kasi, yaani risuponisipiliti kwa kanisa yetu ya kutwanka ile tram kupwa. Kwa hifyo, nilikupaliana na Selina na mhupiri wetu, yule Mtumishi Alfonse Esekaya Alfayo Anterson Khalwale Masinte, ya kwampa mimi nitapaki tu na pipi mmocha.
Lachini nkocha ile siku nilienta nikaampia papu yanku. Huyo chamaa alikuwa ntiye ntume kwake, na siyo kwa poma yake peke yake. Sichui kama mnasomanka makaseti, lachini kuna siku mocha waantishi wa makaseti waliantika kuhusu yeye. Yeye alikuwa na pipi kumi na si? Kumi na sita. Watoto tuliowesa kuesapu ni khamusini na tatu, mupaka tukachoka kuesapu. Yaani walikuwa wanamuita Ntume ya Makaripi. Alichulikana kwa milima na maponte Wezidan Profins yote musima.
Wewe nkocha ile siku nilienta kwake. Kumpe mimi sikuchua alikuwa ameniantalia musichana anaitwa Naliaka ati akuwe pipi yanku ya pili! Kwansa ati huyu alifaa kuwa pipi tu ya ushako, hakukua na faita ati akuche Nairopi. Nilifaa nimweke tu kwa poma yetu Maseno, na nimununulie tu nkuo kila mwesi ya boliesta ama ya shifon (ile materio unawesa kuona mupaka suruali ya ntani). Mimi nikaampia papu yanku kama chamaa ya kanisa siwesi pokea pipi ya pili, ata akuwe muluyia mrempo kama Naliaka (kwansa mwenye ameenta mpaka Sitantati Faif). Nilipomwampia hifyo! Heh!! Naliaka akaankua kilio. Wasee waliokuwa karipu wakatema mate jini. Ntume ya Makaripi akankuruma akatupa mukwachu jini kama amekasirika kupintukia.
Bane kutoka siku hiyo mupaka siku ile alipofariki alisema mimi sio muchukuu yake, na ati ni kama kwampa sikuenta mutoni kutairishwa. Lachini hawa wasee wako na maneno kweli!